Hesabu 25:14 BHN

14 Huyo Mwisraeli aliyeuawa pamoja na mwanamke wa Kimidiani aliitwa Zimri mwana wa Salu, kiongozi wa jamaa mojawapo katika kabila la Simeoni.

Kusoma sura kamili Hesabu 25

Mtazamo Hesabu 25:14 katika mazingira