6 Wakati huohuo mtu mmoja akamleta mwanamke mmoja Mmidiani nyumbani kwake, Mose na jumuiya yote ya watu wa Israeli wakiwa wanaomboleza penye lango la hema la mkutano.
Kusoma sura kamili Hesabu 25
Mtazamo Hesabu 25:6 katika mazingira