Hesabu 26:2 BHN

2 “Hesabuni jumuiya yote ya Waisraeli, kila mtu kufuatana na jamaa yake. Wahesabuni watu wote wenye umri wa miaka ishirini na zaidi wanaofaa kwenda jeshini.”

Kusoma sura kamili Hesabu 26

Mtazamo Hesabu 26:2 katika mazingira