Hesabu 26:54 BHN

54 Kabila kubwa litapewa sehemu yao kubwa na dogo litapewa sehemu yao ndogo. Kila kabila litapewa urithi wake kulingana na idadi ya watu wake.

Kusoma sura kamili Hesabu 26

Mtazamo Hesabu 26:54 katika mazingira