59 Mkewe Amramu aliitwa Yokebedi binti yake Lawi, aliyezaliwa Misri. Huyu alimzalia Amramu watoto wawili wa kiume, Aroni na Mose, na binti mmoja, Miriamu.
Kusoma sura kamili Hesabu 26
Mtazamo Hesabu 26:59 katika mazingira