Hesabu 26:9 BHN

9 na wanawe Nemueli, Dathani na Abiramu. (Hawa wawili: Dathani na Abiramu, ndio waliokuwa wamechaguliwa miongoni mwa jumuiya, lakini wakampinga Mose na Aroni, na kujiunga na wafuasi wa Kora wakati walipomwasi Mwenyezi-Mungu.

Kusoma sura kamili Hesabu 26

Mtazamo Hesabu 26:9 katika mazingira