Hesabu 27:11 BHN

11 Na ikiwa baba yake hana ndugu wa kiume, basi urithi wake utakuwa wa jamaa yake wa karibu, naye ataumiliki kama mali yake. Hii itakuwa kanuni na sheria kwa Waisraeli, kama vile mimi Mwenyezi-Mungu nilivyokuamuru.”

Kusoma sura kamili Hesabu 27

Mtazamo Hesabu 27:11 katika mazingira