Hesabu 27:22 BHN

22 Mose akafanya kama alivyoamriwa na Mwenyezi-Mungu. Alimtwaa Yoshua na kumsimamisha mbele ya kuhani Eleazari na jumuiya yote ya Waisraeli.

Kusoma sura kamili Hesabu 27

Mtazamo Hesabu 27:22 katika mazingira