Hesabu 28:11 BHN

11 “Mwanzoni mwa kila mwezi, mtamtolea Mwenyezi-Mungu sadaka ya kuteketezwa: Fahali wadogo wawili, kondoo dume mmoja na, wanakondoo saba madume wa mwaka mmoja, wasio na dosari.

Kusoma sura kamili Hesabu 28

Mtazamo Hesabu 28:11 katika mazingira