Hesabu 28:27 BHN

27 Mtatoa sadaka ya kuteketezwa, harufu nzuri ya kumpendeza Mwenyezi-Mungu: Fahali wachanga wawili, kondoo dume mmoja, na wanakondoo saba madume wa mwaka mmoja, wote hao wawe hawana dosari.

Kusoma sura kamili Hesabu 28

Mtazamo Hesabu 28:27 katika mazingira