Hesabu 29:14 BHN

14 Sadaka itakayoandamana nazo itakuwa unga safi uliochanganywa na mafuta: Kilo tatu kwa kila fahali, kilo mbili kwa kila kondoo,

Kusoma sura kamili Hesabu 29

Mtazamo Hesabu 29:14 katika mazingira