Hesabu 29:16 BHN

16 Mtatoa pia beberu mmoja kuwa sadaka ya kuondoa dhambi, licha ya ile sadaka ya kawaida ya kuteketezwa, pamoja na sadaka yake ya nafaka na sadaka yake ya kinywaji.

Kusoma sura kamili Hesabu 29

Mtazamo Hesabu 29:16 katika mazingira