Hesabu 29:2 BHN

2 Mtatoa sadaka ya kuteketezwa, harufu nzuri ya kumpendeza Mwenyezi-Mungu: Fahali wachanga wawili, kondoo madume wawili, na wanakondoo wa kiume saba wa mwaka mmoja, wote wawe wasio na dosari yoyote.

Kusoma sura kamili Hesabu 29

Mtazamo Hesabu 29:2 katika mazingira