Hesabu 29:30 BHN

30 Mtatoa pia sadaka ya nafaka na sadaka za kinywaji pamoja na hao fahali, kondoo dume na wanakondoo kulingana na idadi yao, kama inavyotakiwa.

Kusoma sura kamili Hesabu 29

Mtazamo Hesabu 29:30 katika mazingira