Hesabu 3:34 BHN

34 Hizi ndizo familia za Merari. Idadi yao kadiri ya hesabu ya wanaume wote kuanzia wenye umri wa mwezi mmoja na zaidi ilikuwa watu 6,200.

Kusoma sura kamili Hesabu 3

Mtazamo Hesabu 3:34 katika mazingira