Hesabu 3:36 BHN

36 Wao walipewa kazi ya kutunza mbao za hema takatifu, mataruma, nguzo, vitako na vifaa vyote vya kushikilia hema; huduma zote zilizohusu vitu hivi zilikuwa juu yao.

Kusoma sura kamili Hesabu 3

Mtazamo Hesabu 3:36 katika mazingira