Hesabu 30:2 BHN

2 “Mtu akiweka nadhiri kwa Mwenyezi-Mungu au akiahidi kwa kiapo na kujifunga nafsi yake kwa ahadi, ni lazima atimize ahadi yake; ni lazima atekeleze yote yale aliyotamka kwa kauli yake.

Kusoma sura kamili Hesabu 30

Mtazamo Hesabu 30:2 katika mazingira