Hesabu 31:16 BHN

16 Kumbukeni kwamba wanawake ndio waliofuata shauri la Balaamu, wakasababisha Waisraeli wamwasi Mwenyezi-Mungu kule Peori hata maradhi mabaya yakawajia watu wake Mwenyezi-Mungu.

Kusoma sura kamili Hesabu 31

Mtazamo Hesabu 31:16 katika mazingira