Hesabu 31:19 BHN

19 Wote wale walio miongoni mwenu ambao wameua mtu au kugusa maiti ni lazima wakae nje ya kambi kwa muda wa siku saba; jitakaseni pamoja na mateka wenu katika siku ya tatu na ya saba.

Kusoma sura kamili Hesabu 31

Mtazamo Hesabu 31:19 katika mazingira