Hesabu 31:28 BHN

28 Kisha kutokana na lile fungu la wanajeshi waliokwenda vitani, tenga zaka kwa ajili ya Mwenyezi-Mungu: Kitu kimoja kutoka kila vitu 500, iwe ni watu, ng'ombe, punda, kondoo au mbuzi,

Kusoma sura kamili Hesabu 31

Mtazamo Hesabu 31:28 katika mazingira