Hesabu 31:30 BHN

30 Kutoka lile fungu la jumuiya nzima, chukua sehemu moja ya kila hamsini, iwe ni watu, ng'ombe, punda, kondoo na mbuzi. Hivyo utawapa Walawi ambao wana wajibu wa kuhudumu katika hema la Mwenyezi-Mungu.”

Kusoma sura kamili Hesabu 31

Mtazamo Hesabu 31:30 katika mazingira