Hesabu 31:47 BHN

47 Kutoka nusu hii waliyopewa Waisraeli, Mose alitwaa mmoja kati ya kila mateka hamsini na wanyama hamsini, kama alivyoamriwa na Mwenyezi-Mungu, akawapa Walawi ambao walihudumu katika hema la Mwenyezi-Mungu.

Kusoma sura kamili Hesabu 31

Mtazamo Hesabu 31:47 katika mazingira