Hesabu 31:6 BHN

6 Mose aliwapeleka vitani chini ya uongozi wa Finehasi mwana wa kuhani Eleazari, akiwa na vyombo vya mahali patakatifu na tarumbeta za kutoa ishara.

Kusoma sura kamili Hesabu 31

Mtazamo Hesabu 31:6 katika mazingira