Hesabu 31:8 BHN

8 Miongoni mwa watu hao waliouawa, kulikuwako wafalme watano wa Midiani: Evi, Rekemu, Suri, Huri na Reba. Vilevile walimuua Balaamu mwana wa Beori.

Kusoma sura kamili Hesabu 31

Mtazamo Hesabu 31:8 katika mazingira