Hesabu 32:23 BHN

23 Lakini nawaonyeni kwamba msipotimiza ahadi yenu, mtakuwa mnamtendea Mwenyezi-Mungu dhambi; jueni kwa hakika kwamba mtaadhibiwa.

Kusoma sura kamili Hesabu 32

Mtazamo Hesabu 32:23 katika mazingira