Hesabu 32:41 BHN

41 Yairi, wa kabila la Manase, alishambulia vijiji kadhaa vya Gileadi na kuviteka, akavipa jina Hawoth-yairi.

Kusoma sura kamili Hesabu 32

Mtazamo Hesabu 32:41 katika mazingira