Hesabu 33:52 BHN

52 wafukuzeni wenyeji wote wa nchi hiyo mbele yenu. Mtaziharibu sanamu zao zote za mawe na za kusubu na kupabomoa kila mahali pao pa juu pa ibada.

Kusoma sura kamili Hesabu 33

Mtazamo Hesabu 33:52 katika mazingira