Hesabu 34:11 BHN

11 Kutoka Shefamu utaelekea kusini hadi Ribla, mashariki mwa Aini; kisha mpaka huo utakwenda chini hadi mteremko wa mashariki wa ziwa Kinerethi,

Kusoma sura kamili Hesabu 34

Mtazamo Hesabu 34:11 katika mazingira