24 Kabila la Efraimu, mwanawe Yosefu, Kemueli mwana wa Shiftani.
25 Kabila la Zebuluni, Elisafani mwana wa Parnaki.
26 Kabila la Isakari, Paltieli mwana wa Azani.
27 Kabila la Asheri, Ahihudi mwana wa Shelomi
28 Kabila la Naftali, Pedaheli mwana wa Amihudi.
29 Hawa ndio watu ambao Mwenyezi-Mungu aliwaamuru wawagawie Waisraeli nchi ya Kanaani kuwa mali yao.”