Hesabu 34:3 BHN

3 Upande wa kusini mpaka wenu utakuwa kutoka jangwa la Sini kupitia upande wa Edomu. Utaanzia mashariki upande wa kusini mwisho wa Bahari ya Chumvi.

Kusoma sura kamili Hesabu 34

Mtazamo Hesabu 34:3 katika mazingira