Hesabu 34:7 BHN

7 “Mpaka wenu wa upande wa kaskazini utakuwa kama ifuatavyo: Kutoka bahari ya Mediteranea, mtatia alama hadi Mlima Hori.

Kusoma sura kamili Hesabu 34

Mtazamo Hesabu 34:7 katika mazingira