19 Jamaa wa karibu wa mtu aliyeuawa atalipiza kisasi. Huyu atakapokutana na huyo mwuaji, atatekeleza hukumu ya kifo.
Kusoma sura kamili Hesabu 35
Mtazamo Hesabu 35:19 katika mazingira