Hesabu 35:2 BHN

2 “Waamuru Waisraeli kwamba kutokana na urithi watakaomiliki, wawape Walawi miji ya kukaa na sehemu za malisho kandokando ya miji hiyo.

Kusoma sura kamili Hesabu 35

Mtazamo Hesabu 35:2 katika mazingira