Hesabu 35:30 BHN

30 “Mtu yeyote atakayeua mtu, atahukumiwa kifo kutokana na ushahidi wa mashahidi wawili au zaidi; mtu yeyote hawezi kuhukumiwa kifo kutokana na ushahidi wa mtu mmoja.

Kusoma sura kamili Hesabu 35

Mtazamo Hesabu 35:30 katika mazingira