Hesabu 36:2 BHN

2 Wakasema, “Bwana wetu, Mwenyezi-Mungu alikuamuru kuwagawia watu wa Israeli nchi kwa kura, kuwa urithi wao; alikuamuru pia uwape binti za Selofehadi ndugu yetu urithi wa baba yao.

Kusoma sura kamili Hesabu 36

Mtazamo Hesabu 36:2 katika mazingira