Hesabu 36:5 BHN

5 Basi, Mose akawapa Waisraeli agizo lifuatalo kutoka kwa Mwenyezi-Mungu, akawaambia, “Watu wa ukoo wa kabila la Yosefu, wamesema ukweli.

Kusoma sura kamili Hesabu 36

Mtazamo Hesabu 36:5 katika mazingira