Hesabu 36:8 BHN

8 Mwanamke yeyote mwenye urithi katika kabila mojawapo la Israeli ni lazima aolewe na mtu wa kabila lake, ili kila Mwisraeli achukue urithi wa babu zake.

Kusoma sura kamili Hesabu 36

Mtazamo Hesabu 36:8 katika mazingira