12 Watavichukua vyombo vyote vinavyotumika mahali patakatifu, watavifunga kwa kitambaa cha buluu na kuvifunika kwa ngozi laini ya mbuzi, kisha wataviweka juu ya mipiko yake ya kuchukulia.
Kusoma sura kamili Hesabu 4
Mtazamo Hesabu 4:12 katika mazingira