Hesabu 4:14 BHN

14 Juu yake wataviweka vyombo vyote vitumikavyo katika ibada kwenye madhabahu: Vyetezo, nyuma, miiko na mabakuli. Kisha, juu yake watatandaza kifuniko cha ngozi laini ya mbuzi na kuiingiza mipiko yake ya kulibebea.

Kusoma sura kamili Hesabu 4

Mtazamo Hesabu 4:14 katika mazingira