27 Aroni na wanawe makuhani ndio watakaoamrisha huduma zote za Wagershoni kuhusu vitu watakavyobeba na kazi watakazofanya. Utawapangia vitu vyote vile ambavyo wanapaswa kubeba.
Kusoma sura kamili Hesabu 4
Mtazamo Hesabu 4:27 katika mazingira