Hesabu 4:37 BHN

37 Hii ndiyo idadi ya watu wa jamaa ya Kohathi, ambao walihudumu katika hema la mkutano, ambao Mose na Aroni waliwahesabu kama Mwenyezi-Mungu alivyomwamuru Mose.

Kusoma sura kamili Hesabu 4

Mtazamo Hesabu 4:37 katika mazingira