Hesabu 4:41 BHN

41 Hii ndiyo iliyokuwa idadi ya watu wa familia za wana wa Gershoni wote waliohudumu katika hema la mkutano, ambao Mose na Aroni waliwahesabu kama Mwenyezi-Mungu alivyowaagiza.

Kusoma sura kamili Hesabu 4

Mtazamo Hesabu 4:41 katika mazingira