Hesabu 4:45 BHN

45 Hii ndiyo idadi ya watu wa ukoo wa Merari ambao Mose na Aroni waliwahesabu kama Mwenyezi-Mungu alivyomwagiza Mose.

Kusoma sura kamili Hesabu 4

Mtazamo Hesabu 4:45 katika mazingira