Hesabu 4:49 BHN

49 Kila mmoja alipewa kazi yake ya kufanya kuhusu kubeba hema la mkutano, kama Mwenyezi-Mungu alivyomwamuru Mose.

Kusoma sura kamili Hesabu 4

Mtazamo Hesabu 4:49 katika mazingira