Hesabu 4:6 BHN

6 Juu yake wataweka kifuniko cha ngozi laini ya mbuzi, kisha watatandaza kitambaa cha rangi ya buluu safi. Halafu wataingiza mipiko ya kulichukulia sanduku hilo.

Kusoma sura kamili Hesabu 4

Mtazamo Hesabu 4:6 katika mazingira