Hesabu 4:8 BHN

8 Kisha, watavifunika vyombo hivi vyote kwa kitambaa chekundu, na juu yake wataweka kifuniko cha ngozi laini ya mbuzi. Halafu wataingiza mipiko yake ya kulibeba.

Kusoma sura kamili Hesabu 4

Mtazamo Hesabu 4:8 katika mazingira