Hesabu 5:18 BHN

18 Kuhani atamweka mbele ya Mwenyezi-Mungu na kumfunua nywele na kumpa sadaka hiyo ya nafaka itolewayo kwa sababu ya shuku ya mumewe. Kuhani mwenyewe atashikilia kile chombo chenye maji machungu yaletayo laana.

Kusoma sura kamili Hesabu 5

Mtazamo Hesabu 5:18 katika mazingira