Hesabu 5:7 BHN

7 itambidi aungame dhambi yake aliyotenda. Lazima atoe fidia kamilifu kwa kosa lake, akiongeza asilimia ishirini ya fidia hiyo; atampa fidia hiyo yule aliyemkosea.

Kusoma sura kamili Hesabu 5

Mtazamo Hesabu 5:7 katika mazingira