Hesabu 6:15 BHN

15 Pia atatoa kikapu cha mikate isiyotiwa chachu: Maandazi ya unga laini na mafuta, na mikate myembamba iliyopakwa mafuta pamoja na sadaka za nafaka na za kinywaji.

Kusoma sura kamili Hesabu 6

Mtazamo Hesabu 6:15 katika mazingira