Hesabu 6:5 BHN

5 “Siku zote za nadhiri yake ya kujitenga, hatanyoa nywele zake; mpaka muda wa nadhiri yake ya kujiweka wakfu kwa Mwenyezi-Mungu utakapomalizika, atakuwa mtakatifu, ataziacha nywele zake ziwe ndefu.

Kusoma sura kamili Hesabu 6

Mtazamo Hesabu 6:5 katika mazingira